Kanuni za maadili

Kanuni za jukwaa la AlphaNow kwa wenyeji na wasaidizi.

Nita

  • Tengeneza mazingira yatakayofanya washiriki wahisi kukubalika na kuheshimiwa 
  • Dumisha viwango vya siri tulivyokubaliana kabla, wakati wa kozi na baada ya kozi ya Alpha 
  • Hakikisha kuwa wageni kamwe hawatakua kwenye ‘chumba’ cha mtandao bila mwenyeji au msaidizi 
  • Ripoti haraka iwezekanavyo ukiukaji wowote wa kanuni hizi kwa kiongozi wa kanisa langu, kiongozi wa Alpha au msimamizi ili kuwalinda wanyonge  

Sita…

  • Ruhusu kozi yangu ya Alpha kurekodiwa 
  • Bagua mtu yoyote au kutukana, au kutumia lugha ya kibaguzi, au inayohusiana na ngono au ya kuleta dharau 
  • Weza kuvumilia matusi, ubaguzi, maneno yanayochochea ngono au lugha ya dharau kutoka kwa watu wengine 
  • Tengeneza, kutafuta, kusambaza au kutuma picha za ngono au itikadi za kikaidi kwa kutumia jukwaa la AlphaNow, na pia sitatuma ujumbe wowote unaohusiana na ngono